Pageshttps://www.insidehighered.com/views/2020/02/05/why-institutions-should-continue-support-their

Graduation

Graduation
From left: Jumanne Hussein, Dr.Suru, Mzee Gantala, Dr. Masoud during the graduation ceremony held on 26th November, 2015 at Chimwaga Hall, Dodoma

Wednesday, October 9, 2013

WASHAMBULIZI WA WESTGATE WATAJWA!


KENYA YATAJA WASHAMBULIAJI WESTGATE Kenya imetoa majina ya wanaume wanne ambao walifanya shambulizi dhidi ya jumba la maduka la Westgate mjini Nairobi wiki mbili zilizopita ambapo watu zaidi ya 60 waliuawa. Wanaume hao walionekana kwenye picha za kamera za usalama zilizopatikana Westgate baada ya jumba hilo kuvamiwa kwa siku nne. Kwa mujibu wa BBC, msemaji wa jeshi amewataja wanaume hao kuwa ni Abu Baara al-Sudani, Omar Nabhan, Khattab al-Kene na Umayr. Msemaji huyo wa jeshi alieleza kwamba washambuliaji hao wote waliuawa, ambapo mmoja alikuwa raia wa Kenya. Chanzo: Majira

No comments:

Followers

UNGANA NA ULIMWENGU WA SELFIE

Habari Bayana

News Alerts